Uhuru ni "reklesi"
Uhuru Kenyatta amevishwa kilemba cha ukoka, na yule dikteta, aliyekuwa kiongozi wa haramu Daniel arap Moi. Vile tunaviyoajua vizuri Kila ndege huruka na mbawa. Mheshimiwa uhuru hana mbawa. Mbawa zake ni feki, yaani ni za mfano tuu, ambazo amepewa na yule haramu "baba Moi".mwanachama wa ODM mara ni Kiongozi was Kanu. Lakini wahenga walihenga ati, mpanda farasi wawili hupasuka msamba. Karibuni naye atapasuka.
0 Comments:
Post a Comment
<< Home